VIDEO: Rais wa TFF afunguka kuhusu kocha mpya, ampongeza Makonda


Rais wa TFF Wallace Karia leo Agosti 7 amefunguka kwa kutolea ufafanuzi kuhusu kocha mpya ambaye wameingia nae mkataba wa miaka 2 huku akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwa ushirikiano wake anauonyesha kwa shirikisho hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi