VIDEO: Sakata la Simba kucheza na madereva Taxi Uturuki, Manara afunguka


Ushindi wa Simba katika mechi ya mwisho ya majaribio kwenye kambi huko nchini Uturuki imebua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya chombo kimoja cha habari kudai kuwa walicheza na madereva taxi na sio mabingwa wa soka kutoka Morocco. Msemaji wa Simba Haji Manara ameibuka na kutema cheche zake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi