Na Francis Michael ,
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kupitia mwenyekiti wa chama hiko Mh. Freeman Mbowe wametangaza kususia chaguzi zinazoendelea na zitakazoendele kufuatia kuwapo kwa lile linalosemekana kiwa kuna nguvu za dola kutumika katika chaguzi.
Ambapo ameyasema hayo katika mkutano uliofanyika na wanahabari katika makao makuu ya chama hiko, kinondoni jijini dar es salaam, ambapo pia wamedai kuwa watafumgua kesi za kikatiba kuhusiana na hali ya uchaguzi.
