Madee afunguka haya kwa Waziri Mwakyembe

 Kitendo vyombo vya habari kucheza ngoma za nchi za nje kuliko ngoma za wasanii wa Tanzania cha msikitisha Msanii wa Bongo Flava Madee.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Madee amemuomba Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na Michezo Dkt Harison Mwakyembe kuliangalia swala hilo huku wengi wakiamini kuwa linashusha hadhi ya muziki wa Bongofleva pia inawakatisha tamaa wasanii.

Madee ameandika “Mh Waziri wa habari na Utamaduni baba yetu Harrison Mwakyembe ngoma zetu hazionekanai kwenye television za nyumbani tunaangalia mangoma ya nje tu yanayopigwa na television zao tafadhali chezesha baba”

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia