VIDEO: "Ninaweza kusimama mbele wananchi wakanipigia kura za urais" - Kala Jeremiah


Wasanii Kala Jeremiah, Walter Chilambo na Frida Amani ambao ni zao la Bongo Star Search wamefunguka kuhusu mafanikio yao waliyoyapata kupitia shindano hilo. Kala Jeremiah amedai kuwa kwa sasa amekuwa maarufu mpaka anaweza kusimama mbele ya wananchi na kuomba kura ya kuomba urais na akapewa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items