Baada ya Mwanamitindo na mzazi mwenzie mwanamuziki Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuachia video ya wimbo wake wa Madam Hero, Mwanamuziki wa kitambo katika game Rehema Chalamila maarufu kama Ray C ameibuka na kuipost video ya wimbo huo.
Ray C na Hamisa Mobetto wamekua katika kutokuelewana ambapo ilifikia hatua ya kutupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii.
Ray C ametumia ukurasa wake wa Instagram leo kupost video ya wimbo huo wa Hamisa na kuonesha kuwa hana kinyongo na tena Hamisa Mobetto.
Mashabiki wametoa maoni tofauti tofauti lakini wengi wakimpongeza Ray C kwa kitendo cha uungwana alichokifanya.