Ni sakata la mkandarasi wa kampuni ya Nyanza, Mkuu wa wilaya, na Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kuhusiana na utekelezaji wa miradi hususani barabara za manispaa hiyo ambapo inaonekana mkandarasi haendani na muda wa mkataba jambo ambalo limepelekea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuingilia kati na kuagiza kampuni hiyo kutopewa kazi nyingine hadi itakapomaliza miradi waliyoianza.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
