VIDEO: Mechi ya Simba dhidi ya AFC Leopards ya Kenya yawaibua TFF, watoa onyo kali


Mkurugenzi wa kamati ya mashindano ya TFF, Salum Madadi, amefunguka kwa kutoa onyo kali kwa timu kutoka nje ya nchi kuja kucheza mechi za kirafiki au mashindano bila ya kuwa na kibali kutoka kwenye shirikisho la nchi yao la soka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items