Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amepika marukufu kwa wabunge kuingia bungeni wakiwa na kucha na kope Bandia, ameyasema Hayo leo kwenye Mkutano wa Kumi na mbili, Kikao cha tano. SEPTEMBA 10, 2018. atika kipindi cha maswali na majibu.
Ambapo kwa upande wake naibu waziri wenye dhamana ya Afya, jinsia wazee na watoto Dkt. Faustine Ndungulile ametoa ufafanuzi kwa kusema kuwa wizara yake bado haijaanza kufanya uchunguzi juu ya madhara ya kucha na kope bandia na kuahidi kulifanyia kazi suala hilo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE.........
