Kamati ya Maadili ya TFF kupitia kwa mwenyekiti wake, Hamidu Mbwelezeni, imetangaza kumfungia meneja wa klabu ya Simba, Richard Robert kwa kipindi cha mwaka mmoja kutojihusisha na soka na pia imempiga faini ya shilingi milioni mbili baada ya kukutwa na kosa la kutowaruhusu wachezaji takribani sita wa timu hiyo kujiunga kwenye kambi ya Taifa Stars.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
