VIDEO: CHADEMA wamvaa Rais Magufuli sakata la Heche kunyang'anywa "MIC"


''Tanzania hatuna mtawala tuna kiongozi aliyechaguliwa na Wananchi kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka 2015, ukitaka watawala nenda Oman utawakuta watawala lakini nchi ya Kidemokrasia kama Tanzania kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni mimi siwezi kukuuliza wewe kitu kabla hujajibu nakwambia unanipotezea muda kama baba lazima ujue una watoto wa aina gani" Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Dkt. Vicent Mashinji

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items