VIDEO: Tuzo za waandishi wa habari zazinduliwa, vipengele vitatu vyaongezwa


Baraza la Habari Tanzania (MCT) Jumanne hii imezindua tuzo za EJAT ambazo hutolewa kwa waandishi wa habari. Kwa mwaka huu wa 10 wa tuzo hizo zimeongezwa vipengele vitatu ikiwemo waandishi wa online, waandishi wa gesi na nishati na waandishi wa habari za watoto.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items