Baada ya vuguvugu ya viongozi mbalimbali kuvikimbia vyama pinzania na kukimbilia Chama tawala cha CCM, vijana wa mbagala zaidi ya 8000 wamvaa rais Magufuli kutaka kujiunga na chama hiko kwa madai kuwa wanaona jinsi utendaji kazi wake.
Katika Tamasha lililofanyika Dar Live mbagala ambalo leongo kuu lilikuwa ni kumpongeza magufuli kutimiza miaka mitatu, mwanaharakati Ally Makwilo akiongea na muungwana kwa niaba ya vijana amesema kuwa vijana hao wapo tayari kujiunga na chama cha mapinduzi ili waweze kumuunga mkono uchaguzi mkuu utakaofanyika 2020.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.........
