Baraza la wazee wa chadema wakiongozwa na na mwenyekiti wa Baraza hilo Hashim Juma wamelaani kitendo cha Rais Magufuli kuamuru Heche kupokonywa Mic wakati wa ziara aliokuwa anaifanya Rais magufuli ambapo alipofika Tarime heche alipewa kipaza sauti na baadae kuamuriwa kupokonywa kwa madai ya kupoteza muda.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE.......
