Msanii wa hip hop nchini Marekani, Eminem ameendelea kufanbya vizuri na albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Kamikaze.
Kwa sasa Albamu hiyo imekuwa albamu ya hip hop ambayo imeuza zaidi hadi sasa kwa mwaka 2018 kwa nchini Marekani ikiwa imeuza nakala 406,000.
Album hiyo iliyotoka August 31, 2018 imezipita album kama AstroWorld ya Travis Scott ambayo imeuza nakala 392,000 na Scorpion ya Drake iliyouza 292,000.

Tags:
BURUDANI