VIDEO: Hii ndio kauli ya kwanza ya Mo Dewji, gari alilotekewa latelekezwa


Kauli ya Mohammed Dewji mara baada ya kupatikana Alfajiri ya leo katika maeneo ya Gymkhana. Dewji akiwa na Mambosasa ambaye ameeleza namna Mo alivyopatikana. Pia gari linalodaiwa kuwa ni lawatekaji hao limeonekana likiwa limetelekezwa katika eneo hilo la Gymkhana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items