BREAKING: Kesi ya Amber Rutty yapinga kalenda

Kesi inayomkabili Mwanadada, Amber Rutty amehairishwa hadi December 10, 2018.

Amber Rutty na mpenzi wake wanakubiliwa na kesi ya kusambaza video chafu mtandaoni, pamoja na kushiriki mapenzi kinyume na maumbile.

Mara ya mwisho kesi hiyo ilisikilizwa November 12, 2018  kwenye Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam ambapo wawili hao walirudishwa rumande mara baada ya kukosa wadhamini.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia