VIDEO: Amber Rutty aja na staili mpya, atinga mahakamani Kininja


Msanii wa muziki Bongo na video vixen, Amber Rutty, Jumatatu hii ametinga tena mahakamani kusikiliza mashtaka yake mawili yanayomkabili ikiwemo kutuma video chafu mtandaoni na kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Amber Rutty amerudishwa tena rumande kutokana na kukosa mdhamini na kesi hiyo imeahirishwa mpaka Disemba 10, 2018.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia