Lady Jaydee afunguka ishu ya kumuita AY 'brother for life'


Msanii wa muziki Bongo, Lady Jaydee amefunguka ishu ya kumuita msanii mwenzie AY 'Brother for life'

Lady Jaydee amesema kuwa AY ni rafiki yake wa siku nyingi na siku zote yupo kwenye ishu.

"AY ni rafiki wa siku nyingi sana, siku zote yupo kwenye ishu zangu yupo tu , ni vitu vingi siwezi kutaja kimoja ambayo AY amefanya kwake ," amesema Ladydee Time FM.

Lady Jaydee kwasasa anatamba na kibao wa wimbo wake mpya unaoitwa 'Boyfriend wa Dar es Salaam'
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia