Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amekutana na kuzungumza na Balozi wa Sweden nchini ofisini kwake jijini Dar es salaam.
![]() |
| Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam |
![]() |
| Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam |

