Nyumbani Tunda: 'Casto acha kunifuatilia ukiachwa achika' byMuungwana Blog 2 -11/13/2018 10:00:00 AM 0 Tunda hataki mazoea kabisa na amedhihirisha hilo kwa kumtamkia maneno makali kwa aliyekuwa mpenzi wake Casto Dickson kwamba akome kumfuatilia na ajue kuachwa sio kila kukicha kumzungumzia mara tunda hivi mara tunda vile inachosha pia inaboa. Facebook Twitter