Mwimbaji wa Bongoflava Vanessa Mdee amekutana na Rais wa kwanza Mwanamke Afrika Ellen Johnson-Sirleaf wa Liberia.
Mwaka 2016 Ellen alitajwa katika jarida la Forbes kwenye nafasi ya 83 katika orodha ya Wanawake wenye nguvu zaidi duniani.
Mbali ya Urais aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali Serikalini na katika mashirika ya Kimataifa.