Kufuatia kesi ya Mbowe na vigogo wengine tisa inayoendelea leo katika mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam, taharuki na sintofaham ikaibuka ghafla baada ya jemba moja kutolea kwa nguvu kwenye chumba cha mahakama na kuonekana nje ya chumba hiko akibishana kwa mabavu na askari polisi ambapo pia aligoma kutii amri ambayo alikuwa akiambiwa na askari hao ambacho kesi ya vigogo hao wa chadema ikiendelea na kuonekana akifanya vurugu na kubishana na askari hao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE...........
