VIDEO: Iwe Ajib, Tshishimbi hata Kindoki wote tunasajili - Haji Manara
byMuungwana Blog 2-
0
Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kuwa timu hiyo bado haijapokea maelezo kutoka kwa kocha wao mkuu iwapo anahitaji kusajili mchezaji wa nyumbani ila ikitokea hivyo wapo tayari kwa yeyote yule atakayehitajika.