VIDEO: Mdogo wa Rostam akitoka Mahakamani Kisutu



Mfanyabiashara, Akram Azizi Abdul Rasool ambaye ni mdogo wa Rostam Azizi akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na makosa 75, ikiwemo kukutwa na Nyara za Serikali na utakatishaji fedha wa U.S.D 9018.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia