VIDEO: Simba kuanza kutekeleza ombi la Rais Magufuli
byMuungwana Blog 2-
0
Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema kuwa wanachukuliwa kwa uzito mkubwa mchezo wao dhidi ya Mbabane Swallowa Klabu Bingwa Afrika, huku akieleza kuwa wanaelewa shauku ya Rais Magufuli kuona timu hiyo inafanya vizuri kwenye michezo hiyo.