VIDEO: SIRI NZITO: Viwanda vya Korosho Mtwara, Waziri asema haya
byMuungwana Blog 1-
0
Waziri wa kilimo Mh. Japhet Hasunga, amesema kuwa wamefanya matembezi na kugagua viwanda mbalimbali mkoani mtwara ambavyo kati ya hivyo wamegundua kuwa kuna viwanda havifanyi kazi na vimekuwa vikitumika kama maghala.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE...........