VIDEO: Kaburu na Aveva ngoma bado ngumu Mahakamani, warudishwa rumande


AliyekuwaRais wa klabu ya Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu, walifikishwa mahakama ya Kisutu asubuhi ya Jumatatu hii kusikiliza kesi zinazowakabili ikiwemo ya utakatishaji fedha. Kesi hiyo imeahirishwa na inatarajiwa kusikilizwa tena Disemba 2018.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia