VIDEO: ACT wafurika Mahakamani kumsindikiza Zitto, kesi yaahirishwa


Wafuasi wa ACT-Wazalendo Jumatatu hii wamefurika katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa chama hiko Zitto Kabwe. Hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa mpaka Disemba 13, 2018.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia