VIDEO: Tutashirikiana na INTERPOL kuwathibiti hawa - IGP Sirro


Nchi wanachama wa Shirikisho la Polisi wa kimataifa INTEROL wameazimia kuboresha mawasiliano katika kubadilishana taarifa za uhalifu na wahalifu pamoja na kuwapatia mafunzo ya kukabiliana na uhalifu hususani wa kimtandao Askari Polisi ili kuongeza juhudi za kukabiliana na uhalifu.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro baada ya kuwasili kutoka Dubai alipokuwa akihudhuria mkutano Mkuu wa mwaka wa INTERPOL ulioshirikisha jumla ya nchi 195.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE YOUTUBE 

 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items