KATIBA MPYA: Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa atema Cheche (+video)
byMuungwana Blog 2-
0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa amesema kuwa suala la Katiba Mpya halina umuhimu kwasasa bali kinachofanyika sasa hivi ni kurekebisha masuala yalikuwa hayakosawa kipindi cha nyuma.