RC Gambo: Rais Magufuli, Waziri na IGP wamehakikisha wanatupatia Mbwa (+VIDEO)



Wakati wa uzinduzi wa kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Border Post) Namanga, kati ya Tanzania na Kenya, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amemueleza Rais John Magufuli kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwa kushirikiana na Mkuu wa Majeshi IGP, Simoni Sirro wamewapatia Mbwa ili kuimarisha ulinzi mpakani hapo.

TAZAMA VIDEO HAPA HAPA, PIA SUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items