VIDEO: Kwa sasa nipo tayari kuichezea Coastal Union - Alikiba
byMuungwana Blog 2-
0
Mchezaji wa Coastal Union na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba amesema kuwa kutokana na mazoezi kwa sasa yupo tayari kuitumikia timu hiyo ya mkoani Tanga inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.