VIDEO: Msafara wa Rais Magufuli wasimama, DC Murro na RC Gambo wawekwa kati
byMuungwana Blog 2-
0
Wakati Rais Magufuli akiwa njiani kuelekea kwenye baada ya kuzinduzi kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Border Post) Namanga, alimamisha msafara wake na kuanza kusikiliza kero za wananchi ambazo alizijibu kwa kushirikiana na DC Murro na RC Gambo.