Nyumbani Ambokile ajiunga na klabu ya Afrika Kusini byMuungwana Blog 3 -1/30/2019 09:00:00 PM 0 Klabu ya Mbeya City ya mkoani Mbeya imesema kuwa nyota wake Eliud Ambokile amejiunga rasmi na klabu ya Black Leopards F.C. Ambokile anajiunga na klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kwa mkopo wa miezi mitatu. Facebook Twitter