VIDEO: Wahamiaji haramu wakiona cha moto


Wahamiaji 58 Mkoani Tabora wamechukuliwa hatua mbalimbali na Idara ya Uhamiaji mkoani humo ikiwemo baadhi yao kuwafukuzwa, kufungwa na kuwaka rumande  katika msako maalumu uliofanywa hivi karibuni na idara hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia