Klabu ya Arsenal ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili mchezaji raia wa Ubelgiji Belgian Yannick Carrasco kutoka kwenye klabu ya Dalian Yifang.
Arsenal wameamua kumgeukia Carrasco baada ya kushindwa kumpata winga wa Inter Milan Ivan Perisic.
Timu hiyo ya jijini London ilipeleka ofa ya kumsajili Perisic kwa mkopo pamoja na kipengele cha kumchukua jumla lakini Inter Milan ilikataa kumuachia mchezaji huyo.