Mshambuliaji wa klabu ya PSG inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa League1 Neymar atakuwa nje ya dimba kwa takriban wiki kumi kutokana na majareha aliyopata Januari 23 mwaka huu. Kwa maana hiyo Neyma atazikosa mechi za Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester United.
Neymar aliumia kwenye mchezo wa kombe la Ufaransa ambapo PSG iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya kalabu ya Strasbourg.
Neymar aliumia kwenye mchezo wa kombe la Ufaransa ambapo PSG iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya kalabu ya Strasbourg.