AY na mtoto wake 'Aviel' kuja kwa mtindo huu


Msanii wa muziki Bongo, AY ameonyesha nia ya kutumia jina la mtoto wake wa kwanza katika kutengeneza fedha zaidi kama wanavyofanya wasanii wakubwa na watu maarufu dunia.

Mtoto wa AY ambaye anaitwa Aviel jina lake litatumia kwenye kitu ambacho rapa huyo amekipa jina la 'Aviel Safari'. Bado haijajulikana kampuni hiyo itakuwa inajishugulisha na ni ni hasa.

Utakumbuka AY na mkewe, Remy walifunga ndoa February 24, 2018 na sherehe hiyo ilifanyika katika Hotel ya Golden Tulip Dar es Salaam. August 12, 2018 wakiwa nchini Marekani ndipo alipozaliwa Aviel.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items