Fahamu faida utakazopata ukila mbegu za Maboga


Zifuatazo ni faida zitokanazo na ulaji wa mbegu za maboga katika mwili wa binaadamu:

Zina madini aina ya zinc, kopa, magnesium, chuma , manganese, phosphorus

Husaidia uzalishaji wa Maziwa kwa mama anaenyonyesha

Husaidia kurekebisha sukari mwilini na kuwezesha kongosho kufanya kazi yake vizuri

Huimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume na wanawake kutokana na madini aina ya zinc omega3 na omega6

Huondoa sumu mbalimbali mwilini hasa kwenye figo na kibofu cha mkojo pia huondoa madhara ya pombe kiafya

Ni chakula bora kwa mama mjamzito

Husaidia kuondoa shinikizo la damu

Ni chanzo kizuri cha vitamin K, A ,B,E

Ni kinga dhidi ya kansa ya kizazi kwa wanaume na wanawake

Huboresha kumbukumbu, akili kwa watoto na watu wazima

Husaidia kutibu matatizo ya viungo

Husaidia kuondoa unene unaotokana na wingi Wa mafuta cholesterol mwilini

Ni kinga tiba dhidi ya moyo INI na figo

Husaidia kutibu matatizo ya macho kutokana na wingi Wa vitamin A

Huimarisha mishipa ya sehem za siri kwa wanaume na kufanya iwe na nguvu Mara dufu kutokana na madini aina ya zinc,, chuma na kopa

Kula mbegu za Maboga kwa faida kubwa mwilini
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items