Fenerbahce yamsajili mchezaji wa Chelsea

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imekamilisha usajili wa mchezaji wa Chelsea Victor Moses kwa mkopo wa miezi 18.

Moses ataitumikia klabu hiyo hadi mwishoni mwa msimu wa 2019/20.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia