Rais John Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Dkt. Islam Seif Mchenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu (Deep Sea Fishing Authority – DSFA). Uteuzi huo umeanza Disemba 2018.