Manispaa ya Temeke Dar kutoza wananchi Tsh. 50,000 kwa ajili ya kucheza muziki
byMuungwana Blog 3-
0
Manispaa ya Temeke, Dar es salaam itaanza kutoza Tsh. 50,000 ili kutoa kibali kwa mtu anayetaka kufanya shughuli za kijamii zikiwemo kupiga muziki kwenye kumbi/baa, harusi, sendoff, jando na unyago.