Kampuni Kampuni ya Mazongela Building iliyopewa kazi ya kujenga mradi wa maji 'Boga-Mengwa' wilayani Kisarawe.
Mradi huo wenye thamani ya Tsh. Milioni 536 haujatekelezwa na mkandarasi huyo kwa zaidi ya
miezi mitano toka ilipopewa kandarasi hiyo.
Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo amesema serikali imeweka malengo makubwa ya utekelezaji wa miradi ya maji nchini lakini tatizo kubwa katika maeneo mengi limekuwa ni wakandarasi kushindwa kutekeleza miradi hiyo.
