Msami akiri kuwahi kutumia Madawa ya kulevya


Msanii wa Muziki, Msami Baby amefunguka kama ameshawahi kutumia madawa ya kulevya.

Msami amesema kuwa amewashawahi kutumia bangi na unga.

"Mimi nilishawahi kutumia madawa ya kulevya, nilipomaliza darasa la tena nyumbani kulikuwa hakuna wa kunizuia kidogo nyumbani senti zilikuwepo kuwepo nikienda maskani mi ndio kila kitu," Msami ameiambia Clouds E.

Msami kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake unaojulikana na 'Lingoma' ambao kwasasa kwenye mtandao wa YouTube una 140,699 views.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia