Watu 12 wafariki katika mafuriko

Watu 12 waripotiwa kufariki kutokana na mafuriko yaliotokea nchini Saudia kwa muda wa siku 4.
Mvua kali na upepo  zimetajwa kuwa sababu za mafuriko hayo ya  yaliopelekea maafa.

Kulingana na taarifa  zilizotolewa na  shirika la habari la SPA la Saudia mvua zilizonyesha tangu Jumapili zimepekea vifo vya watu 12.

Mvua hizo zilizosababisha mafuriko  zimeathiri maeneo tofauti nchini Saudia.

Watu 271 wameokolewa   na kupelekwa katika amaeno salama kufuatia mvua hizo zilizosababisha mafuriko.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia