Picha: Rais Dkt. Shein azindua uwanja wa Mao-Tsetung


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein amezindua Uwanja wa Michezo wa Mao-Tsetung,  Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia