Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso ameamuru kukamatwa Mhandisi wa Maji wa wilaya ya Monduli, Charles Saidea na Mkandarasi kutoka kampuni ya Meru Constructions, Ayo Jeremia kwa tuhuma za kufanya udanganyifu katika miradi wa maji inayoendelea katika vijiji 10 vya Halmashauri ya wilaya ya Monduli.