Suarez ajiunga Arsenal rasmi

Klabu ya Barcelona imethibitisha kuwa mchezaji wake anayecheza nafasi ya kiungo Denis Suarez amejiunga na klabu ya Arsenal.

 Suarez anajiunga na klabu hiyo yenye maskani yake jijini London kwa mkopo ambapo ataitumikia hadi mwisho wa msimu huu lakini pia kuna kipengele cha makubaliano ya kununuliwa.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia