Msanii wa Filamu Bongo, Faiza Ally amefunguka juu ya upendo alionayo kwa mzazi mwenzie ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu.
Faidha amesema kuwa upendo wake kwa Sugu haujawahi kufutika huku akisema kuwa anadhani kuwa mapenzi hayabadilikagi.
"Upendo wangu haujawahi kufutika i have been almost in my life, nothing change nadhani mapenzi hayabadilikagi," alisema Faiza kwenye Wasafi Tv.
Wiki kadhaa zilizopita Sugu alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happyness Msonga.

